BUHONGWo

About Us - St. Monica Parish, Buhongwa Welcome to St. Monica Parish, Buhongwa, located in the vibrant Catholic Diocese of Mwanza, Tanzania. We are a dynamic and faith-filled Catholic community inspired by the virtues of our patroness, environment where individuals can grow in faith and contribute to the spiritual and social transformation of society.

About Us

Service 1

SHIRIKA. OSA

OSA

Service 2

.

.

Service 3

,

,

Service 4

UTUME HALISI

kumtumika bwana

Service 5

KANISA JIPYA

KANISA LANGU,  NYUMBA YANGU

Ratiba za Misa

Misa ya Kwanza

Siku: Jumapili | Kuanza: 12:00 Asubuhi | Kuisha: 01:00 Asuhi

Misa ya Pili 

Siku: Jumapili | Kuanza: 01:00 Asubuhi | Kuisha: 03:00 Asubuhi

Misa ya Tatu

Siku: Jumapili | Kuanza: 03:30 Jioni | Kuisha: 05:00 Jioni

Kuabudu Ekaristi

Siku: Alhamis | Kuanza: 11:00 Jioni | Kuisha: 12:00 jioni

Matangazo ya Parokia

Ushiriki wa Jumuiya

Waumini tunakumbushwa kuhudhuria ibaada ya Jumuiya ndogondogo mitaani kwetu.

Bofya kusoma zaidi...
Inyalala Office

PAROKIA YA MT MONIKA-BUHONGWA-MWANZA

Ujenzi wa kanisa jipya la Parokia ya Mtakatifu Monica, Buhongwa iliyopo chini ya Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza ni mradi mkubwa wa kiroho na kimaendeleo unaolenga kukidhi mahitaji ya jamii inayokua kwa kasi ya waamini mkoani Mwanz

1+

Ujenzi huu unategemea kwa kiasi kikubwa sadaka, harambee, na michango ya hali na mali kutoka kwa waumini wa parokia hiyo na wahisani mbalimbali.

100

Lengo ni kujenga muundo wa kisasa utakaokuwa na uwezo wa kuchukua idadi kubwa ya watu kwa wakati mmoja, huku ukitoa nafasi nzuri ya kuabudu, mikutano, na huduma za kijamii

Picha na Matukio

Maboresho Nyumba Ya Mapadre

Maboresho Nyumba Ya Mapadre

Tunamshukuru Mungu kwa hatua kubwa iliyopigwa katika kuboresha nyumba ya mapadri ya Parokia ya Mt. Monica Buhongwa. Kwa juhudi za pamoja na moyo wa mshikamano wa waamini, samani mpya na bora zimepatikana, na sasa nyumba hii imepata mwonekano wa kuvutia, wa heshima, na wa faraja zaidi. Samani hizi mpya si tu zinaboresha mandhari ya nyumba, bali pia zinatoa mazingira bora kwa mapadri wetu kuishi na kutekeleza huduma zao kwa amani na ufanisi. Ni ishara ya upendo wa parokia kwa wachungaji wake na uthibitisho kwamba tunathamini kazi yao ya kiroho na kijamii. ? "Tunapoweka heshima katika makazi ya wachungaji wetu, tunaleta heshima pia katika huduma ya Mungu." Hii ni hatua ya kujivunia na mfano wa mshikamano wa kweli wa kijamii. Mungu awabariki wote walioguswa na kuchangia katika mradi huu.

Matendo Ya Huruma

Matendo Ya Huruma

Wazee wanasema, “sio kwamba mbwa wanapendelea kutafuna mifupa zaidi kuliko minofu, ni kwasababu ni vigumu kwa mbwa kupewa minofu”Maishani, usiache kuguswa na ugumu wa maisha ya watu, isifike mahali uone shida zao kama haki na sehemu yao. Wengi wangependelea waishi maisha ya unafuu lakini hawajapata nafasi. Wanaoishi kwa kuokota chupa za maji au kubeba mizigo mizito sio kwamba wameumbwa na akili zenye kupenda sana chupa au vitu vizito. Ni kwasababu wamekosa nafasi. Ukizoea sana shida za watu, utashindwa kuziona na utasahau hata kuwasaidia; utaridhika kuwatupia tu mifupa.

Moyo wa Parokia Yetu

Tazama matukio, mandhari, na nguzo kuu zinazofanya jumuiya yetu kuwa familia moja inayomcha Mungu.

Kanisa Kuu na Eneo La Ibada Mji wa Kiroho

Kanisa Kuu na Eneo La Ibada

Nyumba ya Bwana iliyojengwa kwa ushirikiano wa waamini wote kwa ajili ya sifa na utukufu wa Mungu.

Kwaya Kuu na Sauti za Kimbingu Kuimba ni Kusali Mara Mbili

Kwaya Kuu na Sauti za Kimbingu

Vikundi vya uimbaji vinavyonawiri katika kuleta ibada yenye uwepo wa Roho Mtakatifu kila Dominika.

Vyama vya Kitume na Makundi ya Parokia

WAWATA

WAWATA

Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania - Unalenga kukuza maadili ya kifamilia na kiroho.

Kiongozi: Bi. Agnes Mrema
Simu: +255 713 000 111
VIWAWA

VIWAWA

Vijana Wa Wakatoliki - Kundi linalowakutanisha vijana kujenga imani na misingi ya Kikatoliki.

Kiongozi: Ndugu Josephat Peter
Simu: +255 754 222 333
UWAKA

UWAKA

Andika maelezo ya chama hapa...

Kiongozi: Mwenyekiti
Simu: +255 700 000 000
KWAYA SHIRIKISHO

KWAYA SHIRIKISHO

Andika maelezo ya chama hapa...

Kiongozi: Mwenyekiti
Simu: +255 700 000 000

Sadaka, Michango na Zaka

Toa sadaka yako au changia shughuli za maendeleo ya parokia kupitia njia za kidijitali hapa chini.

Ujenzi wa Kanisa

Vodacom M-Pesa

Namba ya Malipo: Lipa Namba: 543210
Jina la Akaunti: Parokia ya Mt. Monica - Ujenzo
Tithe / Zaka

CRDB Bank

Namba ya Malipo: Akaunti: 015200000000
Jina la Akaunti: Parokia ya Mt. Monica

Weka Taarifa za Utoaji / Mchango Wako

Umefanya malipo? Weka kumbukumbu ya mchango wako hapa ili uweze kufuatiliwa na uongozi wa parokia.

Sakramenti na Huduma za Kichungaji

Fahamu taratibu, ratiba na mahitaji ya kupokea sakramenti mbalimbali katika parokia yetu.

Ubatizo Mtakatifu

Ratiba / Siku: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi - Saa 3:00 Asubuhi
Mahitaji Muhimu:
1. Barua ya Jumuiya 2. Hati ya kuzaliwa ya mtoto 3. Wazazi wateule wawe wamepata sakramenti ya ndoa.

Sakramenti ya Ndoa

Ratiba / Siku: Kwa miadi maalum na Padri (Miezi 6 kabla)
Mahitaji Muhimu:
1. Vikao vya uchumba wa Kikatoliki 2. Vyeti vya ubatizo na kipaimara 3. Ruhusa kutoka parokia wanakotoka.

Kipaimara

Ratiba / Siku: Huadhimishwa mara moja kwa mwaka wakati wa ziara ya Askofu
Mahitaji Muhimu:
1. Umri wa miaka 14 na kuendelea 2. Cheti cha ubatizo 3. Masomo ya ukatekisimu kukamilika.

Omba Miadi ya Kichungaji au Ushauri na Padri

Je, unahitaji huduma ya ubatizo wa dharura, maungamo maalum, baraka ya ndoa, au ushauri wa kichungaji? Jaza fomu hii.

Viongozi na Mapadri wa Parokia

FR. Afrates Luambano OSA
PAROKO

FR. Afrates Luambano OSA

Simu: +255 754 111 222
FR. Mgani OSA
PAROKO MSAIDIZI

FR. Mgani OSA

Simu: +255 655 333 444
Mr. Dominic Manyili
MWENYEKITI

Mr. Dominic Manyili

Simu: +255 700 000 000
Mr. Mbogo
MKITI MSAIDIZI

Mr. Mbogo

Simu: +255 700 000 000
Mr. Masawe
KATIBU

Mr. Masawe

Simu: +255 700 000 000
Ms. Sofia Masabo
KATIBU MSAIDIZI

Ms. Sofia Masabo

Simu: +255 700 000 000

Maswali ya Mara kwa Mara

Buhongwa-Mwanza, Tanzania

+

Saa tatu asubuhi hadi saa kumi jioni

+

Tunapokea malipo kupitia benki na mitandao ya simu

+

Kupitia simu au barua pepe yetu Nawezaje kutoa Michango ya Ujenzi?

+

Washirika Wetu wa Kimkakati

Wasiliana Nasi

Una swali au unahitaji huduma zetu? Tupigie au tuandikie ujumbe, tutakujibu ndani ya saa 24.

Simu: +255699432233

Barua Pepe: info@mtmonicaparish.church

Ofisi: Mwanza, Tanzania

Ramani na Miongozo

Mahali Tulipo (Parish Location)

Karibu ututembelee au ufikie kwa urahisi ukitumia ramani yetu rasmi hapa chini.

St. Monica Catholic Parish

Mwanza, Tanzania

Parokia yetu ipo katika eneo lenye utulivu kwa ajili ya ibada na shughuli zote za kichungaji. Unaweza kupata mwelekeo kamili wa usafiri kupitia ramani iliyoambatishwa hapa.

Fungua kwenye Google Maps App